MAJIBU YA MASWALI YA HELABET
- Fungua App yako
- Bonyeza hicho kiduara cha katikati hapo chini kimeandikwa Bet Slip
- Then Click "Load Bet Slip"
- Then paste Code hafu click Upload
- Gusa kitufe cha duara kimeandikwa "Betslip" hapo chini katikati
- Hafu utaona neno limeandikwa "Go to betslip", bonyeza hapo
- Kisha bonyeza vidoti vitatu vipo pembeni kulia mwa neno " My betslip"
- Hafu utaona neno "Load Betslip" bonyeza hapo, weka code ya mkeka wako hafu malizia kwa kubonyeza "load"
- Fungua App hafu Click "MENU"
- Kwa juu kulia utaona neno "Deposit"
- Click hapo halafu chagua mtandao uliojisajilia(Kama ni Voda chagua Vodacom, Kama ni Tigo chagua Tigo, kama ni Airtel chagua Airtel etc)
- Ingiza kiasi unachotaka kuweka halafu kuna ujumbe utatokea ukikutaka kuingiza namba ya siri, malizia kwa kuingiza namba ya siri ili kukamilisha kuweka pesa
- Fungua App
- Click "MENU"
- Juu kulia utaona icon ya settings
- Bonyeza hapo
- Then chagua "withdraw"
- Kisha chagua mtandao uliojisajilia kuweza kutoa pesa
- Ingiza kiasi unachotoa halafu malizia kutoa pesa
- Kwenye App click "Menu" then "Customer Support" hafu click "Chat" hafu elezea hyo changamoto then wakikupa robot click Call Operator pale juu ili uhudumiwe na binadamu
- Unaweza kuandika hata kwa kiswahili mana wana wahudumu wa kiswahili pia
- Gusa link kwenye post ya mkeka
- Hakikisha upo sehemu ya "By Phone"
- Jaza namba yako ya simu bila kuanza na sifuri mfano 716555444
- Bonyeza "Send SMS" ili utumiwe Confirmation Code
- Angalia kwenye message za kawaida utaona Confirmation Code zimetumwa
- Ingiza Confirmation Code halafu gusa neno "Confirm"
- Ingiza Promocode CHAMPION20 kupata Bonus ukishadeposit pesa
- Weka Password yako: namba + herufi kubwa & ndogo (mf: Tanzania255)
- Kubali Terms and Conditions kisha bonyeza REGISTER
- Ukishaclick REGISTER zitatokea symbols zikitaka uzibonyeze kwa mpangilio(mfuatano kama zinavoonekana kwa juu yake) ila unabonyeza humo ndani kwenye box na baada ya kubonyeza zote click SEND
- Umefanikiwa kujisajili! Weka pesa na subiri mikeka kwenye group